Nyie msiofungwa mpo wapi!!!!????Pole , Umeumia kwa sababu nimeongea Ukweli Mchungu. MTAFUNGWA straightforwardly bila hata kutumia nguvu. Ninasema tena timu haijaandaliwa kimashindano ya mtoano
Mayele ni mshambuliaji mzuri kushinda mshambuliaji yoyote hapa Tanzania.Sawa Mayele sio mzuri ; lakini mtafute striker
Bondeni hamuwezi kutoka kwa namna yoyote ile.Hata akishuka yesu ni lazima MTOKE
Kweli kabisa.Kwa hyo hyo yanga yenye team work na sprit imefikia hatua gani huo ushauri badala uwape yanga ili wafike mbali unakuja kuutoa kwa simba ww unadhani wale Orlando pirates ni geita gold hebu ombeni nao mechi ya kirafiki kabla hawajaondoka somalia tu waliwatoa jasho.
Umeandika kwa uchungu sana! Lakini pole, huu ushauri ungewapa Utopolo ambao nao walishiriki kuanzia CAF CL, sasa sijui na wao hawakuandaliwa kuingia raundi ya pili! Na sijui kwa nini Mayele hakupiga hat trickShomari Kapombe show me the way .......
Juzi niliandika kuwa SSC haijaandaliwa game za knock out kama hizi. Ushindi wa leo means ni point 3 kwenye makundi, hii ndiyo inaibeba SSC kwenye makundi lakini kwenye hizi knock out ni kama imeshapoteza , huo ndiyo ukweli MCHUNGU.
Sitegemei SSC kama itavuka hii hatua lakini kwenye mpira lolote linaweza kutokea.
Nilimwambia Ahmed Ali nilipokutana nae pale Msimbazi kuwa mpira sio uhamasishaji na kusumbua watu mtaani, mpira ni investment na kuwa na team yenye muunganiko, Simba inakosa kitu muhimu kama TEAMWORK na MUUNGANIKO.
Ukiangalia Uchezaji wa SAKO au KIBU, ni uchezaji wa KIUBINAFSI zaidi ambao kimsingi game kama hizi hautakiwa. SAKO anataka kulazimisha kushinda yeye, huku pembeni yake kuna wachezaji walio kwenye position nzuri.... matokeo yake hakuna anayeshinda... hivyo hivyo kwa KIBU. Team work kwenye timu haipo.
Michuano ya KIMATAIFA ni team work na siyo INDIVIDUAL PERFORMANCE. Hii Philosophy inatakiwa kuwa kwenye vichwa vya wachezaji na kuwe na walimu wa kuwafundisha wachezaji maana ya team work, badala yake muda mwingi unatumika kusumbua watu MITAANI , na kusahau TATIZO la MSINGI la SSC.
Sasa ngoja muende SA mkaoneshwe nidhamu ya mpira na maana ya team work.
Nilisema SSC hamuwezi kupita na HAMTOPITA. Huo ndio UKWELI mchungu, mtajadili jadili hapa sijui suluhu kule sijui nini , lakini jibu ni moja, MTAFUNGWA straightforward bila hata ya kutumia nguvu.
Timu ina lack key factors nyingi sana;
1. Hakuna Team work.
2. Ubinafsi kwa wachezaji wa SSC, inaelekea hakuna Kiongoz wa SSC anayeliona hili ni tatizo . Kama KIBU na SAKO wasingekuwa wabinafsi , SSC ingeweza kuwa na goli hata tatu. Sako amekuwa mbinafsi snaa kwenye mechi hizi inaelekea akiwa na mpira focus ni yeye kushinda na sio timu ishinde, wachezaji kama hawa hawawezi kuwa msaada kwenye timu. Sako alitakiwa asiingie kipindi cha pili.
Enock , Morison ni watu sana. Enock anayo spirit ya team work, he is always working for the team: SAKO na KIBU are Always working for their little EGO .
3. Hakuna Spirit ya kucheza away game; nina hakika kule SA , ndani ya kipindi cha 1 simba atakuwa amekalia goli mbili huku lango lake likiandamwa
4 tatizo la nne SSC haina STRIKER sababishi kama vile Mayele ambae kwa nafasi wanazotengeneza SSC , Mayele angekuwa anaondoka na HAT TRICK mara zote.
5 . Tatizo lingine ni Pablo hana maamuz ya haraka, he is always complaining for nothing, mtu kama SAKO alitakiwa atoke kipindi cha kwanza, he is too much into his mind.
Haya sasa mrudi Kwenye Ligi kusikilizia maumivu ya point 10 ; Pablo nae ajiandae kufukuzwa manaa. Safari ya SSC imefika mwisho.
Unadhani Luc Eymael alikosea kuwaita Manyani na mnabwekabweka tu kama mbwa?Ndio akili za kimbumbumbu za kushikiwa na MO hizi,yaani ushinde kwako moja bila then ukitoka ukienda ugenini unakula hamsa halafu unafurahia.
Jamani huyo Mayele alikuwapo tangu raundi ya awaliMayele ni mshambuliaji mzuri kushinda mshambuliaji yoyote hapa Tanzania. Simba kwa sasa haina mshambuliaji mwenye nguvu. Kwakuwa Kagere na Mugalu Umri umewatupa.
Najua wewe na team yako ni wageni kwenye michuano hii ya kimataifa, kwa kuzingatia hilo ngoja nikusaidie kitu;
Unaposikia robo fainali ya ccl au ccc usidhani ni ndondo zenu mnazocheza na Ndanda au Lipuli, huko ni kazi kazi na team zimejipanga sana that's why ni ngumu kusikia mtu kashinda 3 bila so muhimu ni kushinda na kulinda ulichopata.
Tutaendelea kuwafunza kidogokidogo japo tunajua aibu kubwa mliyoliandalia taifa kwenye michuano ijayo.
Watatolewa kilaini sana......Sawa Mayele sio mzuri ; lakini mtafute striker
Bondeni hamuwezi kutoka kwa namna yoyote ile.Hata akishuka yesu ni lazima MTOKE
mtu akiongea kiufundi anaambiwa ni utopolo...Shomari Kapombe show me the way .......
Juzi niliandika kuwa SSC haijaandaliwa game za knock out kama hizi. Ushindi wa leo means ni point 3 kwenye makundi, hii ndiyo inaibeba SSC kwenye makundi lakini kwenye hizi knock out ni kama imeshapoteza , huo ndiyo ukweli MCHUNGU.
Sitegemei SSC kama itavuka hii hatua lakini kwenye mpira lolote linaweza kutokea.
Nilimwambia Ahmed Ali nilipokutana nae pale Msimbazi kuwa mpira sio uhamasishaji na kusumbua watu mtaani, mpira ni investment na kuwa na team yenye muunganiko, Simba inakosa kitu muhimu kama TEAMWORK na MUUNGANIKO.
Ukiangalia Uchezaji wa SAKO au KIBU, ni uchezaji wa KIUBINAFSI zaidi ambao kimsingi game kama hizi hautakiwa. SAKO anataka kulazimisha kushinda yeye, huku pembeni yake kuna wachezaji walio kwenye position nzuri.... matokeo yake hakuna anayeshinda... hivyo hivyo kwa KIBU. Team work kwenye timu haipo.
Michuano ya KIMATAIFA ni team work na siyo INDIVIDUAL PERFORMANCE. Hii Philosophy inatakiwa kuwa kwenye vichwa vya wachezaji na kuwe na walimu wa kuwafundisha wachezaji maana ya team work, badala yake muda mwingi unatumika kusumbua watu MITAANI , na kusahau TATIZO la MSINGI la SSC.
Sasa ngoja muende SA mkaoneshwe nidhamu ya mpira na maana ya team work.
Nilisema SSC hamuwezi kupita na HAMTOPITA. Huo ndio UKWELI mchungu, mtajadili jadili hapa sijui suluhu kule sijui nini , lakini jibu ni moja, MTAFUNGWA straightforward bila hata ya kutumia nguvu.
Timu ina lack key factors nyingi sana;
1. Hakuna Team work.
2. Ubinafsi kwa wachezaji wa SSC, inaelekea hakuna Kiongoz wa SSC anayeliona hili ni tatizo . Kama KIBU na SAKO wasingekuwa wabinafsi , SSC ingeweza kuwa na goli hata tatu. Sako amekuwa mbinafsi snaa kwenye mechi hizi inaelekea akiwa na mpira focus ni yeye kushinda na sio timu ishinde, wachezaji kama hawa hawawezi kuwa msaada kwenye timu. Sako alitakiwa asiingie kipindi cha pili.
Enock , Morison ni watu sana. Enock anayo spirit ya team work, he is always working for the team: SAKO na KIBU are Always working for their little EGO .
3. Hakuna Spirit ya kucheza away game; nina hakika kule SA , ndani ya kipindi cha 1 simba atakuwa amekalia goli mbili huku lango lake likiandamwa
4 tatizo la nne SSC haina STRIKER sababishi kama vile Mayele ambae kwa nafasi wanazotengeneza SSC , Mayele angekuwa anaondoka na HAT TRICK mara zote.
5 . Tatizo lingine ni Pablo hana maamuz ya haraka, he is always complaining for nothing, mtu kama SAKO alitakiwa atoke kipindi cha kwanza, he is too much into his mind.
Haya sasa mrudi Kwenye Ligi kusikilizia maumivu ya point 10 ; Pablo nae ajiandae kufukuzwa manaa. Safari ya SSC imefika mwisho.
Sawa ng'ombe wa Mayele tumekusoma.Shomari Kapombe show me the way .......