Wachezaji wa timu za Taifa wafundishwe wimbo wa Taifa

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
9,524
Reaction score
13,682
Nimewaona leo katika mechi baina ya Tanzania na Sudan baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa hawawezi kuimba wimbo wa Taifa. Hivyo nashauri TFF ifanye jitihada wachezaji wa timu ya Taifa wawe wanafanya mazoezi ya kuimba wimbo huu.
 
Hayo majamaa asilimia kubwa hayajaenda shule..Wangeenda shule wasimgepata tabu hivyo..
 
.....labda ni wahutu

🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️

Back
Top Bottom