Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimewaona leo katika mechi baina ya Tanzania na Sudan baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa hawawezi kuimba wimbo wa Taifa. Hivyo nashauri TFF ifanye jitihada wachezaji wa timu ya Taifa wawe wanafanya mazoezi ya kuimba wimbo huu.