Wachezaji wa Yanga nawaomba kesho mniheshimishe.

Wachezaji wa Yanga nawaomba kesho mniheshimishe.

Sun is Sun

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2024
Posts
649
Reaction score
975
Naipenda Yanga,
Furaha yangu sio pombe, furaha sio mpira wa Ulaya, Furaha ni Yanga.

Mkifungwa mjue tunaumia zaidi yenu.
Wikiendi yangu imeanza vizuri, Naomba kesho muindeleze kwa furaha tele.
Ile ndoto niliyoota kwamba mnyama anakufa 3+ na ikatimie.

Asanteni.
 
Weekend imeanza vizuri kwa kuwa upo na mshangazi hapo sio! Subiri maumivu kesho
 
Naipenda Yanga,
Furaha yangu sio pombe, furaha sio mpira wa Ulaya, Furaha ni Yanga.

Mkifungwa mjue tunaumia zaidi yenu.
Wikiendi yangu imeanza vizuri, Naomba kesho muindeleze kwa furaha tele.
Ile ndoto niliyoota kwamba mnyama anakufa 3+ na ikatimie.

Asanteni.
mpira wa kesho hautabiriki!!
 
Back
Top Bottom