Naipenda Yanga,
Furaha yangu sio pombe, furaha sio mpira wa Ulaya, Furaha ni Yanga.
Mkifungwa mjue tunaumia zaidi yenu.
Wikiendi yangu imeanza vizuri, Naomba kesho muindeleze kwa furaha tele.
Ile ndoto niliyoota kwamba mnyama anakufa 3+ na ikatimie.
Asanteni.