Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
BM33 ,anakibul sana sisi kama dar yang African siku zote hua tunachelewesha mishahala pamaoja na mikataba kwa wachezi kutokana na ukata,huyu hatufai katika ile kauli mbi yetu pendwa ya
Tumeipenda wenyewe wacha ituue#
Najua wakati unaandika haya ulikuwa umekalia tako moja.BM33 ,anakibul sana sisi kama dar yang African siku zote hua tunachelewesha mishahala pamaoja na mikataba kwa wachezi kutokana na ukata,huyu hatufai katika ile kauli mbi yetu pendwa ya
Tumeipenda wenyewe wacha ituue#
Sisi dar yang African iko kwenye dum wacha ituue mkuuNajua wakati unaandika haya ulikuwa umekalia tako moja.
Thomas Karume ,Najua wakati unaandika haya ulikuwa umekalia tako moja.
Tozi ameharibu miundombinu kabisaNajua wakati unaandika haya ulikuwa umekalia tako moja.
Ngasa anaweza kubaki........akawa back up na kuingia dk ya 80 hivi bado anakitu1.Yikpe
2.Molinga
3.Tariq
4.Ngasa
Ngasa anaweza kubaki........akawa back up na kuingia dk ya 80 hivi bado anakitu
Kaseke ni mzuri kwenye kukaba,ila hajui kutoa pasi hata kufunga mara nyingi anakosa magoli ya wazi,hata akiondoka si vibaya sanaVipi kaseke unamwonaje
Wanatoboa mtumbwi na wenyewe wapo humo humo.... akili zao yani kama wamekunywa maji ya chooni!Yanga wanadaiwa $19,000 wanakata rufaa wanalipa $25000
Wadau wa michezo, msimu unaelekea mwisho hivyo inatoa nafasi kwa dirisha la usajili kufunguliwa. Kwenye usajili mara nyingi ni lazima uondoe mtu ili ulete mtu, kwa kuanzia leo na klabu ya Yanga, wachezaji wapi wanastahili kupunguzwa pale Yanga?
Kwa Yikpe tulipigwa
Kikosi chote na benchi la ufundi lote ni wa kuondoka. Hamna timu pale!Wadau wa michezo, msimu unaelekea mwisho hivyo inatoa nafasi kwa dirisha la usajili kufunguliwa. Kwenye usajili mara nyingi ni lazima uondoe mtu ili ulete mtu, kwa kuanzia leo na klabu ya Yanga, wachezaji wapi wanastahili kupunguzwa pale Yanga?
Sema anajitambua sio ana kiburi!BM33 ,anakibul sana sisi kama dar yang African siku zote hua tunachelewesha mishahala pamaoja na mikataba kwa wachezi kutokana na ukata,huyu hatufai katika ile kauli mbi yetu pendwa ya
Tumeipenda wenyewe wacha ituue#
Ndio maana mnakwama...ngasa huyu! Mmeshindwa pata backup wa maana?Ngasa anaweza kubaki........akawa back up na kuingia dk ya 80 hivi bado anakitu