Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Wadau wa michezo, msimu unaelekea mwisho hivyo inatoa nafasi kwa dirisha la usajili kufunguliwa. Kwenye usajili mara nyingi ni lazima uondoe mtu ili ulete mtu, kwa kuanzia leo na klabu ya Yanga, wachezaji wapi wanastahili kupunguzwa pale Yanga?