Wachezaji wa Yanga wanaopaswa kupigwa panga dirisha la usajili

Kaseke ni mzuri kwenye kukaba,ila hajui kutoa pasi hata kufunga mara nyingi anakosa magoli ya wazi,hata akiondoka si vibaya sana
Mmh wee unamfuatiliaga Kaseke kweli!! Kaseke bado wa moto mbona

Wa kuondoka Yanga ni Yipe, Tariq na yule dogo sijui anaitwa Kabamba.

Molinga abaki kwani ana vitu fulani hivi amazing. Akiwa na msaidizi mzuri pale mbele atakuwa sawa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu mimi Molinga ni bonge la strika ila tu kuna kipindi alikosa "match fitness". Na makocha wa Yanga wameshindwa kabisa kumtengenezea pacha wake. Ana nguvu, ana uwezo wa kuficha mpira hata akiwa amezungukwa na mabeki wawili na ana uwezo mzuri sana wa kutoa pasi za mwisho. Kiufundi Molinga anatakiwa acheze pamoja na straika mwenzake mwenye jicho kali la goli. Kazi ya Molinga iwe tu kumtengenezea mwenzake afunge kwa sababu yeye Molinga sio "finisher" mzuri sana japo mara moja moja huwa anafunga. Lakini iwapo Yanga wameshindwa kumtumia kwa kumtengenezea pacha wake uwanjani basi ni vizuri wamuache akatafute maisha sehemu nyingine.
 
KATA HAWA HAPA

1. Yikpe gislain
2. Adeyun
3. Juma mahadhi
4. Tariq seif
5. Ali Ali
6. Molinga
7.Erik Kabamba

TOA KWA MKOPO
1.Makame
2.Kaseke
3. Dante
 
Hili dudu linajiita Yikpe nikiingia tu uwanjani huwa nazima Tv nalala.
Badala ya kuwalaumu viongozi wenu mnamlaum mchezaji, hata mimi ingawa hata danadana sijui ila wapigadili wakinifuta aaah nachukua mkataba mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…