mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,682
- 10,801
Mmh wee unamfuatiliaga Kaseke kweli!! Kaseke bado wa moto mbonaKaseke ni mzuri kwenye kukaba,ila hajui kutoa pasi hata kufunga mara nyingi anakosa magoli ya wazi,hata akiondoka si vibaya sana
Wa kuondoka Yanga ni Yipe, Tariq na yule dogo sijui anaitwa Kabamba.
Molinga abaki kwani ana vitu fulani hivi amazing. Akiwa na msaidizi mzuri pale mbele atakuwa sawa tu
Sent using Jamii Forums mobile app