Environmental Security
Senior Member
- May 21, 2020
- 181
- 261
Pape ndlawu from stev Bucharest Romania to simba
The worst ever in Tanzanian football history
The worst ever in Tanzanian football history
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serunkuma [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Wachezaji wooooooote toka Afrika Magharibi kuja Tanzania hasa toka Mali, Nigeria na Senegal ni hovyoo. Kidooogo Ivory Coast na Ghana akina Blagnon, Gyan, Wawa na Morrison wanaonyesha kitu.
Wachezaji wa Uganda na Kenya Hawana Mpinzani kwenye Soka la Tanzania kuanzia KIIZA, OKWI, OCHAN, MWALALA, AUCHO, LWANGA nk
Serunkuma yupi sasa?Serunkuma [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Yule mfupiiiSerunkuma yupi sasa?
Danny au
Simon
West Africa viwango vyao vya mpira viko juu sana, sasa ninajiuliza hawa ambao huletwa na kuonesha viwango vya chini huwa ni wachezaji au tunaokoteza huko mitaani?Wachezaji wooooooote toka Afrika Magharibi kuja Tanzania hasa toka Mali, Nigeria na Senegal ni hovyoo. Kidooogo Ivory Coast na Ghana akina Blagnon, Gyan, Wawa na Morrison wanaonyesha kitu.
Wachezaji wa Uganda na Kenya Hawana Mpinzani kwenye Soka la Tanzania kuanzia KIIZA, OKWI, OCHAN, MWALALA, AUCHO, LWANGA nk
[emoji23][emoji23]yule jamaa walipuyangaSerunkuma [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Pap Ndaw !!! Mungu anamuonaDavis mwape ~ yanga sc
Emeh izechuku- simba sc
Oji obina- simba sc
Pap Ndaw- simba sc
Jaja -yanga sc
Mkuu , maboss watapigaje pesa bila kuwaleta watu kama hao?West Africa viwango vyao vya mpira viko juu sana, sasa ninajiuliza hawa ambao huletwa na kuonesha viwango vya chini huwa ni wachezaji au tunaokoteza huko mitaani?
Akufo hakuwa mbaya mkuu....Daniel Akufo - Simba Sc
Mba - Yanga Sc