Wachezaji wabovu kuwahi kusajiliwa Simba na Yanga

Wachezaji wooooooote toka Afrika Magharibi kuja Tanzania hasa toka Mali, Nigeria na Senegal ni hovyoo. Kidooogo Ivory Coast na Ghana akina Blagnon, Gyan, Wawa na Morrison wanaonyesha kitu.
Wachezaji wa Uganda na Kenya Hawana Mpinzani kwenye Soka la Tanzania kuanzia KIIZA, OKWI, OCHAN, MWALALA, AUCHO, LWANGA nk
 
Serunkuma [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Wachezaji wooooooote toka Afrika Magharibi kuja Tanzania hasa toka Mali, Nigeria na Senegal ni hovyoo. Kidooogo Ivory Coast na Ghana akina Blagnon, Gyan, Wawa na Morrison wanaonyesha kitu.
Wachezaji wa Uganda na Kenya Hawana Mpinzani kwenye Soka la Tanzania kuanzia KIIZA, OKWI, OCHAN, MWALALA, AUCHO, LWANGA nk
West Africa viwango vyao vya mpira viko juu sana, sasa ninajiuliza hawa ambao huletwa na kuonesha viwango vya chini huwa ni wachezaji au tunaokoteza huko mitaani?
 
Mkuu , maboss watapigaje pesa bila kuwaleta watu kama hao?
 
Back
Top Bottom