Wachezaji wafuatao wanatuhujumu: Kapombe, Bocco, Manula

Nitakuwa wa mwisho kuamini upumbavu huu.

Kocha hana la kujitetea.
Wachezaji tajwa hapo juu Kapombe, Bocco na Manula wamejazwa mahela na GSM, ili wasifanye vizuri kwenye mechi mbalimbali za nbc premier league.

Hawajitumi kabisa, wakifika 18 za mpinzani wanatoa pasi za kugongesha wachezaji na hatimaye mpira unakwama.

Nakuthibitishieni kuwa timu inahujumiwa na wachezaji na siyo ubovu wa kocha.

Nashauri chezesheni kikosi Cha pili na baadhi ya wachezaji wa kigeni Kama Chama, Mugalu, Sakho, Kanoute.

Aidha fanyeni matibabu ya uhakika kwa Lwanga, la sivyo hata mechi na Prison tutafungwa.

Kocha Hana tatizo, tatizo lipo kwa wachezaji.
 
Tatizo limeanzia hapaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220127-071738.jpg
 
Wachezaji tajwa hapo juu Kapombe, Bocco na Manula wamejazwa mahela na GSM, ili wasifanye vizuri kwenye mechi mbalimbali za nbc premier league.

Hawajitumi kabisa, wakifika 18 za mpinzani wanatoa pasi za kugongesha wachezaji na hatimaye mpira unakwama.

Nakuthibitishieni kuwa timu inahujumiwa na wachezaji na siyo ubovu wa kocha.

Nashauri chezesheni kikosi Cha pili na baadhi ya wachezaji wa kigeni Kama Chama, Mugalu, Sakho, Kanoute.

Aidha fanyeni matibabu ya uhakika kwa Lwanga, la sivyo hata mechi na Prison tutafungwa.

Kocha Hana tatizo, tatizo lipo kwa wachezaji.
Huna akili
 
Kinachotokea katika club ya Simba ndo maana halisi ya soka, huwezi kuwa bora siku zote, naamin hakuna hujuma toka kwa mchezaji yoyote, ni kipindi cha mpito tu
 
Wachezaji tajwa hapo juu Kapombe, Bocco na Manula wamejazwa mahela na GSM, ili wasifanye vizuri kwenye mechi mbalimbali za nbc premier league.

Hawajitumi kabisa, wakifika 18 za mpinzani wanatoa pasi za kugongesha wachezaji na hatimaye mpira unakwama.

Nakuthibitishieni kuwa timu inahujumiwa na wachezaji na siyo ubovu wa kocha.

Nashauri chezesheni kikosi Cha pili na baadhi ya wachezaji wa kigeni Kama Chama, Mugalu, Sakho, Kanoute.

Aidha fanyeni matibabu ya uhakika kwa Lwanga, la sivyo hata mechi na Prison tutafungwa.

Kocha Hana tatizo, tatizo lipo kwa wachezaji.
Kwa hiyo Yanga na Azam FC walipokaa miaka 4 hawajachukua kombe nao walikuwa wanahujumiwa na wachezaji wao? Acheni kutafuta visingizio timu ya Simba ni mbovu kila idara kuanzia Management,Benchi la Ufundi mpaka Wachezaji wake,ukitafakari yanayoendelea Simba utagundua kila idara ina mapungufu makubwa lazima yafanyike mabadiliko makubwa na kuacha kutafuta visingizio visivyokuwa na maana na Ujanja ujanja.Kwa Sasa brand na Thamani ya Simba inaporomoka kila kukicha mwisho wake hatujuhi itakuwaje mbinu na mipango yao yote vinajulikana watu wanacheza nao kila kukicha wajitafakari,wafanye mabadiliko na kuja na mbinu mpya vinginevyo watatia aibu msimu kwa msimu na ikumbukwe pia mashabiki wa Simba na Tajiri wao huwa siyo wavumilivu wa matokeo mabovu watasusa na kuikacha timu.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!![emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom