Wachezaji Wafuatao wangetupisha Yanga SC

Wachezaji Wafuatao wangetupisha Yanga SC

Paul dybala

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2023
Posts
524
Reaction score
2,097
Baleke
Musonda
Aucho
Pacome
Dube
Yote kwa yote viongozi wa yanga wamekurupuka kutuletea kocha asiye na profile kubwa
Ts galaxy ...michezo 30 kashinda mechi 12 kapoteza 10 kadraw 8 ..hapa wananchi tumepigwa makosa yamefanyika ..ilifaa kukaa chini na gamond amalizie mda wake.

Mwisho... siioni yanga ikichukua ubigwa msimu huu
kama hauoni una matatizo ya macho
 
Baleke
Musonda
Aucho
Pacome
Dube

Yote kwa yote viongozi wa Yanga wamekurupuka kutuletea kocha asiye na profile kubwa
Ts Galaxy ...michezo 30 kashinda mechi 12 kapoteza 10 kadraw 8

Hapa wananchi tumepigwa makosa yamefanyika ..ilifaa kukaa chini na Gamond amalizie mda wake.

Soma Pia:
Mwisho... siioni Yanga ikichukua ubigwa msimu huu
Kalpana Scars uran Tsh Kiweriweri
 
Baleke
Musonda
Aucho
Pacome
Dube

Yote kwa yote viongozi wa Yanga wamekurupuka kutuletea kocha asiye na profile kubwa
Ts Galaxy ...michezo 30 kashinda mechi 12 kapoteza 10 kadraw 8

Hapa wananchi tumepigwa makosa yamefanyika ..ilifaa kukaa chini na Gamond amalizie mda wake.

Soma Pia:
Mwisho... siioni Yanga ikichukua ubigwa msimu huu
Kuepusha vurugu zisiendelee Jangwani ni bora wakaachiwa washinde mechi kama mbili hivi
 
Back
Top Bottom