Wachezaji Wafuatao wangetupisha Yanga SC

Wachezaji Wafuatao wangetupisha Yanga SC

Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio (Visababu) SC.
25. Manguruwe SC.
JamiiForums1683832807.jpeg
 
Baleke
Musonda
Aucho
Pacome
Dube

Yote kwa yote viongozi wa Yanga wamekurupuka kutuletea kocha asiye na profile kubwa
Ts Galaxy ...michezo 30 kashinda mechi 12 kapoteza 10 kadraw 8

Hapa wananchi tumepigwa makosa yamefanyika ..ilifaa kukaa chini na Gamond amalizie mda wake.

Soma Pia:
Mwisho... siioni Yanga ikichukua ubigwa msimu huu
Hivi ligi ya s.africa unaiona ni dhaifu sana?
 
Baleke
Musonda
Aucho
Pacome
Dube

Yote kwa yote viongozi wa Yanga wamekurupuka kutuletea kocha asiye na profile kubwa
Ts Galaxy ...michezo 30 kashinda mechi 12 kapoteza 10 kadraw 8

Hapa wananchi tumepigwa makosa yamefanyika ..ilifaa kukaa chini na Gamond amalizie mda wake.

Soma Pia:
Mwisho... siioni Yanga ikichukua ubigwa msimu huu
wewe ungeanzisha timu ndio uwe unaamua nani unamtaka na nani humtaki
 
yani kwenye list Aziz hayupo halafu pacome yupo we ukiachiwa timu inashika nafasi ya 10 kabisa..😂
kazi ya pacome hujaijua bado kumbe Aziz kiwango kishashuka huyo ndo hatufai kwasasa kaangalie uchezaji wake mguu haukai na mpira!
 
Ifike MDA mods muwe mnafuta tu nyuzi ambazo hazieleweki yaani mtu unalalamika aucho aachwe wakati apo apo akilini unajizima data kwani aucho si namba 8 ,Ukabaji si kazi yake asilia

Unasema pacome aachwe 🤔,Unaonaga vituko vya Azizi Ki sikuhizi
 
Back
Top Bottom