Wachezaji Wafuatao wangetupisha Yanga SC

Gundu like walilichukua kimkenge
Na tuliwaambia wachezaji wao NI VETERANS.umri umekwenda wakabisha.nguvu ya soda imeisha.aziz ki hamna hamna ana 35.
Wachezaji wa west Africa wakikwambia Wana miaka 25 jumlisha 10.
 
Hii list bila Mwamnyeto bado itakua ni batili.
Pacome na Aucho sikuungi mkono.
 
Yanga hakuna haja ya kuwaacha wachezaji,wamekumbwa tu na upepo wa kisulisuli,wafanye tu rotation ya kikosi ili kuwe na wachezaji mbadala injuries zinapotokea,siyo kama Gamondi kikosi kile kile kina Kibwana Shomari tuliwaona wako vizuri wakasahaulika hadi vipaji vinashuka
 
7 - stop
7 - stop
7 - stop
7 - stop
8 - kwangu
8 - kwangu
J - Naomba Mavi
Last card
3 - Nimemaliza.
 
Kumbukeni kuwalipa🤣🤣🤣
 
Nakumbuka kuporomoka Kwa Mnyama, Mambo yalianza hivihivi mara ooh Tedeo Lwanga kazeeka, tena, Laly Bwalya hakimbii kama zamani mara uwanja ule tumerogwa 😁
Halafu Wana Simba tukawa tunabisha matokeo 😔😔😔
 
Hakuna timu ambayo haifungwi hapa Duniani.

Mkifahamu hilo maisha yatakuwa marahisi.
 
Hakuna timu ambayo haifungwi hapa Duniani.

Mkifahamu hilo maisha yatakuwa marahisi.
 
Hakuna timu ambayo haifungwi hapa Duniani.

Mkifahamu hilo maisha yatakuwa marahisi.
 
Huyo kocha mwenye profile kubwa utamlipa wewe? Acha utani na mambo siriasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…