Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Mpira sii kukimbia jamaniPacome siku hizi anakimbiakimbia
Una shida wewe si bure.Kuepusha vurugu zisiendelee Jangwani ni bora wakaachiwa washinde mechi kama mbili hivi
Hivi ligi ya s.africa unaiona ni dhaifu sana?Baleke
Musonda
Aucho
Pacome
Dube
Yote kwa yote viongozi wa Yanga wamekurupuka kutuletea kocha asiye na profile kubwa
Ts Galaxy ...michezo 30 kashinda mechi 12 kapoteza 10 kadraw 8
Hapa wananchi tumepigwa makosa yamefanyika ..ilifaa kukaa chini na Gamond amalizie mda wake.
Soma Pia:
Mwisho... siioni Yanga ikichukua ubigwa msimu huu
wewe ungeanzisha timu ndio uwe unaamua nani unamtaka na nani humtakiBaleke
Musonda
Aucho
Pacome
Dube
Yote kwa yote viongozi wa Yanga wamekurupuka kutuletea kocha asiye na profile kubwa
Ts Galaxy ...michezo 30 kashinda mechi 12 kapoteza 10 kadraw 8
Hapa wananchi tumepigwa makosa yamefanyika ..ilifaa kukaa chini na Gamond amalizie mda wake.
Soma Pia:
Mwisho... siioni Yanga ikichukua ubigwa msimu huu
Mchezaji kushuka kiwango ni kawaida na hasa kama ametumika kupita kiasiPacome siku hizi anakimbiakimbia
Swadaktaaaaa...ubaya ubwela upo unafanya kazi