Wachezaji waliochezea vilabu vyote vya Simba na Yanga kwa mafanikio

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
18,960
Reaction score
67,654
Lengo la uzi huu ni kukumbushana orodha ya Wachezaji ambao wamewahi kuzitumikia timu zote hizi kwa vipindi tofauti tena kwa mafanikio. Yaani mchezaji anaweza akawa alicheza Simba baadae akaenda Yanga, au alianzia Yanga baadae akaenda Simba.

Orodha yangu ni hii:
Kelvin Yondan
Ramadhan Waso
 
Said Mwamba Kizota mmija kati ya wachezaji bora wa Kitanzania kuwahi kutokea.

Alianza kama mshambuliaji akaja kumalizia career yake kama beki.
Hilo lilotokea kampala uganda dar young african na sports club villa mpaka half time yanga kala tatu ndipo fundi huyu akarudi kucheza mkoba kocha wa waqt ule nadhani alikuwa tauzany nzoisaba (kama kumbukumbu sio sahihi waungwana mtarekebisha )basi mpaka mpira unakwisha bao tatu hizo hizo. Game iliyofuatia akaendelea kucheza gwala mpaka tunachukua ndoo.
 
Villa ya Majid Musisi
 
Hii ya Kizota kucheza sentahafu musisi hayupo hii ilikuwa mwaka 1999 kocha wa jogoo akiwa Paul hasule ndio wasededi alicheza mkungu.
Yanga alichukua ubingwa pia 1993 kampla.Fainali Villa sc alikula 3 na golini alianza Nemes alipoumia akaingii Katuba. Athman Idd chuji naye alitamba kote,Mrisho Halfan Ngassa uncle!!!!!
 
Yanga alichukua ubingwa pia 1993 kampla.Fainali Villa sc alikula 3 na golini alianza Nemes alipoumia akaingii Katuba. Athman Idd chuji naye alitamba kote,Mrisho Halfan Ngassa uncle!!!!!
Hapana almarhumu Jose hakuwepo alipoumia stiven casmir nemes aliingia almarhumu riffat said waganda wakajua watatoka mkwara wake wa kwanza lilipigwa shuti akadaka kwa mkono mmoja waganda wa kachanganyikiwa. 1993 Jose bado yupo swaalet na akina msamba mascut said pamoja na iddi nasoro cheche.
 
Uko sahihi mkuu,nilichanganya majina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…