Tyrone mofekeng
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 694
- 610
George Magere Massatu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hakuna mchezaji ambae nikiliona jina lake nachikia kama Amir Maftah, alikuwa anaihujumu Yanga kila ilipokuwa inakutana na Simba. Alikuwa aidha anasababisha penati au anacheza rafu isiyo na maana anatolewa Nje kwa kadi Nyekundu.juma amiri maftah, godwin aswile, said maulid
Hapo kuna cha kujifunza mkuu!Soka ina maajabu yake ..constantine alikua staa yanga zaidi ya Nonda na Ngandu Ramadhani..lkn leo hii uki google constantine Kimanda utatoka patupu...history imekua tofauti kbs!!
Huyo siyo Juma Amir Maftaha ni mpwa wake ,Amir Maftaha.Yaani hakuna mchezaji ambae nikiliona jina lake nachikia kama Amir Maftah, alikuwa anaihujumu Yanga kila ilipokuwa inakutana na Simba. Alikuwa aidha anasababisha penati au anacheza rafu isiyo na maana anatolewa Nje kwa kadi Nyekundu.
RIP WassoLengo la uzi huu ni kukumbushana orodha ya Wachezaji ambao wamewahi kuzitumikia timu zote hizi kwa vipindi tofauti tena kwa mafanikio. Yaani mchezaji anaweza akawa alicheza Simba baadae akaenda Yanga, au alianzia Yanga baadae akaenda Simba.
Orodha yangu ni hii:
Kelvin Yondan
Ramadhan Waso
Clotous Chotta Chama.Mohammed Banka