Wachezaji waliochezea vilabu vyote vya Simba na Yanga kwa mafanikio

Wachezaji waliochezea vilabu vyote vya Simba na Yanga kwa mafanikio

juma amiri maftah, godwin aswile, said maulid
Yaani hakuna mchezaji ambae nikiliona jina lake nachikia kama Amir Maftah, alikuwa anaihujumu Yanga kila ilipokuwa inakutana na Simba. Alikuwa aidha anasababisha penati au anacheza rafu isiyo na maana anatolewa Nje kwa kadi Nyekundu.
 
Soka ina maajabu yake ..constantine alikua staa yanga zaidi ya Nonda na Ngandu Ramadhani..lkn leo hii uki google constantine Kimanda utatoka patupu...history imekua tofauti kbs!!
Hapo kuna cha kujifunza mkuu!
 
Yaani hakuna mchezaji ambae nikiliona jina lake nachikia kama Amir Maftah, alikuwa anaihujumu Yanga kila ilipokuwa inakutana na Simba. Alikuwa aidha anasababisha penati au anacheza rafu isiyo na maana anatolewa Nje kwa kadi Nyekundu.
Huyo siyo Juma Amir Maftaha ni mpwa wake ,Amir Maftaha.
 
Lengo la uzi huu ni kukumbushana orodha ya Wachezaji ambao wamewahi kuzitumikia timu zote hizi kwa vipindi tofauti tena kwa mafanikio. Yaani mchezaji anaweza akawa alicheza Simba baadae akaenda Yanga, au alianzia Yanga baadae akaenda Simba.

Orodha yangu ni hii:
Kelvin Yondan
Ramadhan Waso
RIP Wasso
 
Back
Top Bottom