Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Nikweli usiopingika kuwa Soka la tanzania limetawaliwa na mashabiki wanaoendeshwa na mihemko, hii hapa Orodha ya wachezaji wazuri waliokimbia Clabu zao na kutundika Daluga au kuhamia vilabu vingine
1. David Molinga , Yanga, huyu alikuwa mchezaji nzuri aliyeweza kufungua zaidi ya goli 7 kwa msimu baada ya Kelele za mashabiki akaamua kusepa zake
2. Joash Onyango Simba, Alikuwa beki kwelikweli, muunganiko wake nzuri ndani ya Simba uliipa Simba mafanikio, tangu Kuondoka kweke ukuta wa Simba una matatizo makubwa
3. John Raphael Bocco, Simba, mfungaji Bora wa Muda wote katika Soka la Tanzania, na forward mwenye uwezo wakufunga Goli 10 kwa msimu, aliamua kujiondoa kwenye kikosi Cha Simba baada ya Kelele za mashabiki walioenda mbali zaidi na kumuita mchawi,, Baada ya Kuondoka Simba, Safu ya ushambuliaji Simba imekuwa butu na kuwanyima Simba ubingwa. Kama bocco angekuwepo asingekosa Goli 9 katika Msimu ambazo huenda zingeipa Simba ubingwa, licha ya kufungua Bocco nikiongozi nzuri uwanjani.
4. Laudit Mavugo, Simba, Haieleweki aliondokaje Simba lakini katika Msimu aliocheza Simba alifunga Goli 7 kitu ambacho hakijafanywa na mfungaji yeyote wa Simba kwa siku za karibuni
5. Juma kaseja' Juma Golikipa wa zamani wa Simba Yanga, kagera na mbeya city, pengine mchezaji maarufu zaidi katika Karne ya 21 na mchezaji aliyecheza zaidi ya miaka 20 katika Soka la Tanzania. Katika mahojiano yake na Azam tv alisema aliamua kukaa pembeni Baada ya Kelele za mashabiki kutaka atundike dalugha huku akiwa na umri usiozidi miaka 34.
Mashabiki wa Soka mjitafakari