Wachezaji Waliopata Kuharibikiwa Wakiwa Simba SC

Labda mngesema CEO wa Simba ameharibu kiwango cha Mkude. Ningejaribu kuwaelewa
 
Jamaly simba mnyate

Adam juma ( alitokea prison)

Mwambeleko

Shomari ( alitokea mtibwa)
Kameta duchu

Moses othiambo ( huyu aliflop vibaya mno)

Mo Ibrahim ( hakuna mchezaji kabisa)

Patrick kiongera ( hapa walipigwa)

Junior lukosa ( huyu ni hamna kitu)

Kuna beki mzimbabwe huyo alikimbia kabisa

Papa ndew ( msenegal tall huyu alikuja na viatu vilivyochoka hatari)

Peter mwalyanzi

Salim mbonde

Vincent agban ( kipa pazia)
 
Kuna sehemu Yanga imejisahau. Kuonyesha nia hewa ya kuwataka wachezaji fulani fulani uli kama kawaida Simba iipiku na kuwasajili!
 
Kwahiyo mnaona wameharibikiwa au wamejiunga na timu yenye wachezaji wenye viwango bora zaidi yao?.

ukweli ni kwamba mchezaji anaekaa benchi Simba akienda Yanga anaingia kikosi cha kwanza.
Na Yanga inajipigia Simba vile itakavyo. Sijui kama umefikiria ullichokiandika, kwa maana hiyo Simba hufanya makosa kusajili wachezaji wasio na uwezo??

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Uzi wa yanga kufarijiana,hivi mtoa post ni lini na wapi ajibu na nionzima wamecheza pamoja
 
Wewe mbona hatusemi ulivyoharibiwa na
Guaje
GuDume
Chizi Maarifa
General Garadudu
Bitoz

 
Mo Ibrahim .....
So sad
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Hivi Jerry Tegete yuko wapi sikuizi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo mnaona wameharibikiwa au wamejiunga na timu yenye wachezaji wenye viwango bora zaidi yao?.

ukweli ni kwamba mchezaji anaekaa benchi Simba akienda Yanga anaingia kikosi cha kwanza.
Ila nao Simba wanatia aibu, wana wachezaji wenye viwango Bora sana lakini wakikutana kwenye vpl na Yanga yoyote hata iwe mbovu kupindukia wanapigwa au kutoa sare. Yaani ndani ya miaka 2 ya kikosi Bora cha Simba, Simba amepigwa Mara 2 na kutoka sare mara 2. Hili inabidi benchi la ufundi na uongozi wa Simba walifanyie kazi kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…