Wachezaji wanahitajika Timu za Taifa huku michezo haijaisha, Ni uzembe mkubwa kwa TFF na Bodi ya ligi

Wachezaji wanahitajika Timu za Taifa huku michezo haijaisha, Ni uzembe mkubwa kwa TFF na Bodi ya ligi

Msimu huu TFF wamejitahidi Sana Kwa ratiba. Kuna misimu ligi ilikuwa inaisha mwezi WA Saba. Jana Uefa Leo CAF champions kesho FA hakuna utofauti mkubwa WA kumaliza msimu.
 
TFF na Bodi ya ligi Tanzania kitu kikubwa wanachokijua ni kupiga faini wachezaji na kufungia wachezaji/ makocha wanaowakosoa tu.

Lakini katika Mambo ya msingi/ muhimu Kama kudraft ratiba ya match Mwanzo wa msimu Hadi mwisho TFF na Bodi ya ligi Tanzania hakuna walijualo.

Fainali ya kombe la Azam bado halijaisha Kuna wachezaji wameitwa kwenye timu zao za Taifa, hii ni aibu sana kwa TFF na Bodi ya ligi Tanzania.
Michezo gani haijaisha wakati nyie ligi zenu za kuahirishwa ahirisha bila kujali ratiba za Kimataifa
 
Nyie ndiyo mmevuruga ratiba, kuna mechi ziliahirishwa kwa maombi yenu. Halafu hakuna aliyetegemea mvuke group stage, tuliwazoea wazee wa hatua za awali muendeleze jadi yenu [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Halafu wasitafute sababu siwana kikosi kipana wanasemaga
 
Yanga ni lidude kuuuuuuubbbbwaaaaa ina kikosi kipana no mayele no problem😀😀
 
Unapenda kulalamika, kaangalie ligi zote Africa ambazo Timu zao zimefika nusu fainali kimataifa zimekaaje.
 
Back
Top Bottom