NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #21
Huna hoja mbumbumbu wewe Tulia Kama unanyolewa.Kwa nini utopolo hamuachi kulalamika kila siku?
Semeni mnataka kubebwaje ili mshinde?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna hoja mbumbumbu wewe Tulia Kama unanyolewa.Kwa nini utopolo hamuachi kulalamika kila siku?
Semeni mnataka kubebwaje ili mshinde?
Mchanganyiko wa wivu na hasira! Makolo msimu huu mmeteseka sanaRatiba za mwanzo zilikuwa zinatosheleza mahitaji hakukuwa na haja ya kusimamishwa ligi wala FA, ni nyie ndiyo mliomba mechi ziahirishwe na bado kwenye fainali mkapigwa.
Mchanganyiko wa wivu na hasira! Makolo msimu huu mmeteseka sana
Michezo gani haijaisha wakati nyie ligi zenu za kuahirishwa ahirisha bila kujali ratiba za KimataifaTFF na Bodi ya ligi Tanzania kitu kikubwa wanachokijua ni kupiga faini wachezaji na kufungia wachezaji/ makocha wanaowakosoa tu.
Lakini katika Mambo ya msingi/ muhimu Kama kudraft ratiba ya match Mwanzo wa msimu Hadi mwisho TFF na Bodi ya ligi Tanzania hakuna walijualo.
Fainali ya kombe la Azam bado halijaisha Kuna wachezaji wameitwa kwenye timu zao za Taifa, hii ni aibu sana kwa TFF na Bodi ya ligi Tanzania.
Halafu wasitafute sababu siwana kikosi kipana wanasemagaNyie ndiyo mmevuruga ratiba, kuna mechi ziliahirishwa kwa maombi yenu. Halafu hakuna aliyetegemea mvuke group stage, tuliwazoea wazee wa hatua za awali muendeleze jadi yenu [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Hehehehehe! Hatari sana!Nani ambaye hakutegemea??
Ni TFF wapangaji wa ratiba ndiyo walikua kuwa Simba na Yanga hakuna timu itakayofika fainali Sasa inakuaje shirikisho la mpira halina Imani na timu zake.
Akisikia sikia,hata aliyetoa madai hayo hamfahamu.Una uhakika kuwa Yanga walituma maombi..?? Utuwekee hiyo barua ya maombi