Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Maajabu afu kuna Mutale sijui 😳Yani Mukwala aondoke afu Ateba abaki!
Sasa ATEBA akiondoka penalties zetu zitafungwa na nani?Yani Mukwala aondoke afu Ateba abaki!
KariaSasa ATEBA akiondoka penalties zetu zitafungwa na nani?
Manula wangemuacha sababu anaipenda SimbaKuelekea msimu ujao, tetesi zasema Simba SC kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake.
Kwenye dirisha hili la usajili, taarifa zinaeleza kuwa wachezaji kadhaa huenda wakaachwa au kuuzwa na klabu ya Simba SC. Orodha ya wachezaji wanaotajwa kuondoka ni kama ifuatavyo:
MAKIPA:
MABEKI:
- Aishi Manula - Anatajwa kumalizana na Azam FC
- Ally Salim
- Ayoub Lakred - Amesaini FUS Rabat ya Morocco
- Moussa Pinpin Camara anapewa mwaka mmoja wa kujipima kabla ya hatma yake kuamuliwa.
VIUNGO:
- Kevin Kijili
- Che Malone
- Hussein Kazi
WASHAMBULIAJI:
- Fabrice Ngoma
- Omari Omari
- Augustine Okejepha
- Jean Charles Ahoua - Ikiwa timu kutoka nje ya Tanzania itaweka dau la kuvutia atauzwa.
Nani abaki na nani aongezwe kwenye orodha hii?
- Steven Mukwala - Ndiye pekee kwenye orodha ya kuondoka katika safu ya ushambuliaji kwa sasa
Hao wanyumbani ongezaKama Mimi ningekuwa kiongozi simba Ningeachana na wachezaji wa kigeni wafuatao.
1. Chemalone Fondoh.
2. Valentino Nouma.
3. Agustine Okejepha.
4. Fabrice Ngoma.
5. Joshua Mutale.
6. Jean Charlea Ohua.
7. Christian Arteba.
Wachezaji wa Nyumbani.
8. Aishi Manula.
9. Omari omari.
10. Kijiri.
Bila kusahau Kapombe na ZimbweKama Mimi ningekuwa kiongozi simba Ningeachana na wachezaji wa kigeni wafuatao.
1. Chemalone Fondoh.
2. Valentino Nouma.
3. Agustine Okejepha.
4. Fabrice Ngoma.
5. Joshua Mutale.
6. Jean Charlea Ohua.
7. Christian Arteba.
Wachezaji wa Nyumbani.
8. Aishi Manula.
9. Omari omari.
10. Kijiri.
So mnaacha timu nzima mkuu? Then mtasajili timu nyingine tena? Lini timu itatengamaa?Hao wanyumbani ongeza
Awesu awesu
Ladak chasambi
Edwin balua
Ally salim
Hamza
Mzamiru
Hata mimi nimeshangazwa na hili Ateba is overrated hamna kitu pale mkuuYani Mukwala aondoke afu Ateba abaki!
Duh ...mukwala nje ateba abaki!?Kuelekea msimu ujao, tetesi zasema Simba SC kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake.
Kwenye dirisha hili la usajili, taarifa zinaeleza kuwa wachezaji kadhaa huenda wakaachwa au kuuzwa na klabu ya Simba SC. Orodha ya wachezaji wanaotajwa kuondoka ni kama ifuatavyo:
MAKIPA:
MABEKI:
- Aishi Manula - Anatajwa kumalizana na Azam FC
- Ally Salim
- Ayoub Lakred - Amesaini FUS Rabat ya Morocco
- Moussa Pinpin Camara anapewa mwaka mmoja wa kujipima kabla ya hatma yake kuamuliwa.
VIUNGO:
- Kevin Kijili
- Che Malone
- Hussein Kazi
WASHAMBULIAJI:
- Fabrice Ngoma
- Omari Omari
- Augustine Okejepha
- Jean Charles Ahoua - Ikiwa timu kutoka nje ya Tanzania itaweka dau la kuvutia atauzwa.
Nani abaki na nani aongezwe kwenye orodha hii?
- Steven Mukwala - Ndiye pekee kwenye orodha ya kuondoka katika safu ya ushambuliaji kwa sasa
Mnatafuta kuendelea kujificha kwenye kichaka cha "TUNAJENGA TIMU?"Kuelekea msimu ujao, tetesi zasema Simba SC kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake.