Tetesi: Wachezaji wanaotajwa kutemwa Simba SC dirisha hili la usajili, Ahoua, Manula, Ngoma, Mukwala na wengine

Ukiondoa Yanga na Singida BS timu zingine mbona wachezaji wa Simba wamefanya vizuri?Kupata points 78 wanapomaliza msimu sio vibaya ,sema TU Yanga wapo vizuri zaidi 🤔
Katika hizo points 78 za waamuzi ni almost 18. Hawakustahili kuzifikisha.
 
 
Ukiondoa Yanga na Singida BS timu zingine mbona wachezaji wa Simba wamefanya vizuri?Kupata points 78 wanapomaliza msimu sio vibaya ,sema TU Yanga wapo vizuri zaidi 🤔
Humu Kuna VICHAA mkuu SEMA hawajijui.
 
Nilichogundua mpaka sasa mashabiki wa simba ndiyo chanzo kikuu cha timu yao kufanya vibaya.

Kila msimu unapo tamatika, wanaanzisha zengwe la kuwakataa baadhi ya wachezaji pamoja na mokocha wao! Na kwa bahati mbaya viongozi wa timu nao wanawasikiliza hao mashabiki. Na mwisho wa siku kila msimu unapowadia, timu inasajili kikosi kipya!!

Jifunzeni kwa Yanga! Huwa wanajazia mapengo tu yaliyo jitokeza kwenye msimu uliopita. Na siyo kubadilisha kikosi kizima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…