Wachezaji wanaovuta bangi Tanzania

Wachezaji wanaovuta bangi Tanzania

Wanaokunywa pombe wana hatari zaidi ya wanaovuta bangi...... Tafiti hupingwa kwa tafiti.....
 

Attachments

  • fahamuzaidi-20180905-0001.jpeg
    fahamuzaidi-20180905-0001.jpeg
    38.3 KB · Views: 22
Kevin Yondani Ni Mvutaji Mkubwa Na Msambazaji Hasa Wa Hiyo Jamaica Vegetables Na Hupitishia Mzigo Bagamoyo nakuja Kuusambaza Dar! Kunamshkaji Hupita Sana Maeneo Ya Kariakoo Pale ilipo Benki Ya PBZ na Kutokezea Mtaa wa Nyamwezi mida za Kama Saa 2 usiku huwa Ana Boxer Nyekundu Utamkuta Kavaa Rasket Basi Huyo Ndiyo Mtu Wake Wa Kusambaza Mzigo.

Mkuu kumbe na Wewe hadi mida hiyo ya Saa 2 usiku huwa unakuwepo hadi unamwona na Boksa Nyekundu na kavaa Rasketi? Kazi ipo hakyanani!
 
Amini nakwambia wewe muangalie Canavaro mdomoni utaona mdomo mweusi hata akiwa anacheza mpira anacheza kihunihuni sasa zile sio bangi?

Kwa Cannavaro nitawabishieni na kuwakatalieni hadi Dunia hii itakapopinduka.
 
Ila tunapochangia huu Uzi tuweke pia na akiba ya maneno kwani kuna wengine humu hadi leo hii mnaitwa Wanadamu ' Baba ' zenu / zetu ' walilanduka ' Kwanza na kitu ' Bange / Bange ' ndipo ' wakatupiamo ' na leo tunatiririka na kuserereka pamoja hapa Jamvini. Wazazi hasa ' Washua ' wana Siri nyingi tu.

Yangu ni hayo!
 
Mkuu kumbe na Wewe hadi mida hiyo ya Saa 2 usiku huwa unakuwepo hadi unamwona na Boksa Nyekundu na kavaa Rasketi? Kazi ipo hakyanani!

Mkuu Lakini Haimaanishi Kuwa Mimi Ni Mkabaji au Navuta Cannabis.
 
Back
Top Bottom