Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Huyu unamsingizia maana hata soda hanywi achilia mbali pombe au bangi [emoji23] [emoji23]Write your reply...
ngolo kante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu unamsingizia maana hata soda hanywi achilia mbali pombe au bangi [emoji23] [emoji23]Write your reply...
ngolo kante
Umewahi kuvuta bangi?Chemistry form two
3.Canavaro2. Kelvin Yondani
Mkuu huoni aibu kusema hivyo [emoji12]Mmmh. Huyo wa Mikia kabisa labda.
Hao wengine unawasigizia bana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] mna tabu sanaWachezaji wa simba wote.
Duuh hamuoni aibu [emoji1] [emoji1]Ndio aiseee. [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Kuna vyura wanacheza mpira?????Nyosso
Vyura Fc wote..
Kelvin Yondani
Haroub Canavaro
Papa Tshishimbi
Jonas Mkude
Kevin Yondani Ni Mvutaji Mkubwa Na Msambazaji Hasa Wa Hiyo Jamaica Vegetables Na Hupitishia Mzigo Bagamoyo nakuja Kuusambaza Dar! Kunamshkaji Hupita Sana Maeneo Ya Kariakoo Pale ilipo Benki Ya PBZ na Kutokezea Mtaa wa Nyamwezi mida za Kama Saa 2 usiku huwa Ana Boxer Nyekundu Utamkuta Kavaa Rasket Basi Huyo Ndiyo Mtu Wake Wa Kusambaza Mzigo.
Amini nakwambia wewe muangalie Canavaro mdomoni utaona mdomo mweusi hata akiwa anacheza mpira anacheza kihunihuni sasa zile sio bangi?
Mkuu kumbe na Wewe hadi mida hiyo ya Saa 2 usiku huwa unakuwepo hadi unamwona na Boksa Nyekundu na kavaa Rasketi? Kazi ipo hakyanani!