Tulivyo rudi nyumbani tukapigwa ngapi?Wapuuzi kweli, kule kimataifa nako kuna bahasha? Mlipopigwa 3-0. Uwekezaji mkubwa mipango endelevu hakuna. Tafuteni watu wenye weledi kwenye tasnia ya soka mtafika mbali
Aggregate ikawa ngapi?Tulivyo rudi nyumbani tukapigwa ngapi?
Bro Azam tulipofikia tukicheza na Bayern atashinda kwakwe kwetu tutashinda
Subiri mzunguuko wa pili uje uandike tena.Msimu jana nilishangaa sana Simba na Yanga kushangilia kuifunga Azam ambayo wacheza 8 wa first eleven walikuwa out karibu msimu mzima.
LYANGA, DUBE,NADO,BAJANA. Hao wachezaji tegemezi walikuwa majeruhi msimu Jan.
SUREBOY,AGGREY,MUDATHIRI hao walisimamishwa.
Sasa mlikuwa mnafrahia nini kutufunga?
note: KAULI MBIU YETU HATUFUNGWI NA TEAM ZISIZO NA VIWANJA MSIMU HUU[emoji16][emoji460]
Au sio wazee wa IrizaUtasema nn asa huna kiwanja
Hajanifunga
Mlipofungwa na Prisons na KMC FC ni nani sababu refa au mpira ilikuwa umetoka?Shuti la mpira uliotoka?
Mara mpewe penalties za kijinga
Ndo maana waarabu waliwa fir*
Aucho acheze number ya nani isah ndala ambae hakupoteza pass jana?
Bro unatania
Au Akaminko alivyokiwasha jana
Mguna alicheza tu sababu bajana yuko fungate ila aucho hapana hawezi
Kuifunga Simba hakuitoi kuwa Simba ni bora. Azam itasubiri san
Kama kushinda mi naona wamemfunga simba jana vinginevyo huwa siwaelewagi nadhani wana tatizo ambalo mi nawewe hatulijui.Hawaeleweki ila hawafungwi na team zisizo na viwanja
Umenimiss?Mwehu kazini
AwapiUmenimiss?
Mbona unanifata fata sanaAwapi