Wachezaji wanaoweza kupata namba Azam kutoka Simba na Yanga

Wachezaji wanaoweza kupata namba Azam kutoka Simba na Yanga

Wapuuzi kweli, kule kimataifa nako kuna bahasha? Mlipopigwa 3-0. Uwekezaji mkubwa mipango endelevu hakuna. Tafuteni watu wenye weledi kwenye tasnia ya soka mtafika mbali
Tulivyo rudi nyumbani tukapigwa ngapi?

Bro Azam tulipofikia tukicheza na Bayern atashinda kwakwe kwetu tutashinda
 
Mpira unamatokeo matatu yote uyakubali jana ilikua sio siku yetu na sio mwisho wa safari ya kuusaka ubingwa
 
Msimu jana nilishangaa sana Simba na Yanga kushangilia kuifunga Azam ambayo wacheza 8 wa first eleven walikuwa out karibu msimu mzima.

LYANGA, DUBE,NADO,BAJANA. Hao wachezaji tegemezi walikuwa majeruhi msimu Jan.

SUREBOY,AGGREY,MUDATHIRI hao walisimamishwa.

Sasa mlikuwa mnafrahia nini kutufunga?


note: KAULI MBIU YETU HATUFUNGWI NA TEAM ZISIZO NA VIWANJA MSIMU HUU[emoji16][emoji460]
Subiri mzunguuko wa pili uje uandike tena.
 
Inonga Bacca Varane na Aucho pia wanapata namba
 
Inonga Bacca Varane na Aucho pia wanapata namba
Aucho acheze number ya nani isah ndala ambae hakupoteza pass jana?

Bro unatania

Au Akaminko alivyokiwasha jana

Mguna alicheza tu sababu bajana yuko fungate ila aucho hapana hawezi
 
Aucho acheze number ya nani isah ndala ambae hakupoteza pass jana?

Bro unatania

Au Akaminko alivyokiwasha jana

Mguna alicheza tu sababu bajana yuko fungate ila aucho hapana hawezi

Kwaiyo bro wee mechi ya jana ndo umepagawa uyo ndala alitepeta kwa Emanuel Mvyekure wa KmC[emoji23][emoji2] jana angekuwepo Mdhamiru na Kanoute ucngemsifia kias hcho

Hata ivo timu inapangwa kulingana na mahitaji ya mechi hkn beki wa Azam wa kumuweka bench Inonga Varane wala midfielder wa kumuweka Aucho akiwa fiti
 
Azam ni wadogo tu pale anaweza namba wakitokea sub ni akaminko na dube
Yule kipa wenu hawezi kumweka benchi diara
Juma shaban unajua uwezo wake
Hapo kati unajua mafundi
Mbele kuna mayele huwezi kimlinganisha na mbombo
 
Hawaeleweki ila hawafungwi na team zisizo na viwanja
Kama kushinda mi naona wamemfunga simba jana vinginevyo huwa siwaelewagi nadhani wana tatizo ambalo mi nawewe hatulijui.
 
Back
Top Bottom