Wachezaji wanatakiwa kuachwa Yanga 2023/24

Wachezaji wanatakiwa kuachwa Yanga 2023/24

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Wa Nje
Dumbia
Morrison
Kisinda
Juma Shaban

Wa Ndani
Ngushi
Ambundo
Bryson
Zawadi Mauya
Johora

Yanga inahitaji kama wachezaji 4 wapya wenye quality wa nje. Pia wachezaji 5 wa ndani wenye quality!
 
Hao unaopendekeza wabaki, Ndio hao hao watakaotakiwa na timu nyingine zenye ubavu wa pesa. Hayo ni mapendekezo yako lakini hitimisho ni: " If other factor remain constant"
 
Wa Nje
Dumbia
Morrison
Kisinda
Juma Shaban

Wa Ndani
Ngushi
Ambundo
Bryson
Zawadi Mauya
Johora

Yanga inahitaji kama wachezaji 4 wapya wenye quality wa nje. Pia wachezaji 5 wa ndani wenye quality!
Zawadi Mauya na Djuma Shaaban wawepo. Timu lazima iwe na wachezaji fulani wazuri wanaokubali kukaa benchi vinginevyo itakuwa vurugu.
 
Wa Nje
Dumbia
Morrison
Kisinda
Juma Shaban

Wa Ndani
Ngushi
Ambundo
Bryson
Zawadi Mauya
Johora

Yanga inahitaji kama wachezaji 4 wapya wenye quality wa nje. Pia wachezaji 5 wa ndani wenye quality!
Waswahili wana viherehere utafikiria ndiye kocha wa timu!

Nyie ndio mliosababisha hakina Makambo na Kisinda wasajiliwe tena kumbe walikuwa ni wachezaji wa kawaida sana.

Kazi ya wachezaji wanao achwa na kusajiliwa ni ya kocha aliyepo na si ya mashabiki
 
Back
Top Bottom