technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Atusaidie wa hapa ndani yeye si anatazama ligi anaowaona wanafaa kuchukua nafasi ya hao wazawa.Wachezaji wa ndani wenye quality unawatoa wapi?
Hao wachezaji wa ndani wenye Quality unawapata wapi.. ?? HAKUNA
Kwani Prof Nabi anasemaje ?Wa Nje
Dumbia
Morrison
Kisinda
Juma Shaban
Wa Ndani
Ngushi
Ambundo
Bryson
Zawadi Mauya
Johora
Yanga inahitaji kama wachezaji 4 wapya wenye quality wa nje. Pia wachezaji 5 wa ndani wenye quality!
Zawadi Mauya na Djuma Shaaban wawepo. Timu lazima iwe na wachezaji fulani wazuri wanaokubali kukaa benchi vinginevyo itakuwa vurugu.Wa Nje
Dumbia
Morrison
Kisinda
Juma Shaban
Wa Ndani
Ngushi
Ambundo
Bryson
Zawadi Mauya
Johora
Yanga inahitaji kama wachezaji 4 wapya wenye quality wa nje. Pia wachezaji 5 wa ndani wenye quality!
Morrison Sawa , kisinda aachwe Yule jamaa ni wa mhimu Sana
Waswahili wana viherehere utafikiria ndiye kocha wa timu!Wa Nje
Dumbia
Morrison
Kisinda
Juma Shaban
Wa Ndani
Ngushi
Ambundo
Bryson
Zawadi Mauya
Johora
Yanga inahitaji kama wachezaji 4 wapya wenye quality wa nje. Pia wachezaji 5 wa ndani wenye quality!
usitupangie wewe baki na utopolo yakoJuma Shaban na Mauya big No