Wachezaji wangapi wakiumwa mechi inaahirishwa?

Wachezaji wangapi wakiumwa mechi inaahirishwa?

Ukotoa maambukizi ya Covid 19 nitajie mechi gani hapa duniani iliasha wahi ahilishwa kwamba wachezaji wanaumwa?
TFF inachezewa kama mwanasesere. Hivi kila timu ikijiajiamulia tu kukacha mechi Na kusingizia kuwa wachezaji wake wengi wanaharisha TFF itakataa ombi lao? Sio serikali wala TFF waliotoa rasmi muongozo kuhusu haya mafua, kama mwalimu mkuu ataifunga shule kuepusha kuenea kwa mafua atafukuzwa kazi. TFF ilijiridhijaje kuhusu afya ya wachezaji wa simba? Waliwaona wachezaji kujiridhisha kuhusu afya zao? Kanuni IPI walitumia kuahirisha mechi kwa ugonjwa wa mafua? Kwani fursa na taarifa haikutolewa kwa timu zote zitakazokuwa Na mchezaji mwenye mafua haya waahirishiwe mechi yao?
 
Duhhh we jamaa bana, kwahiyo akili yako inakutuma kuwa Simba alikuwa anaikimbia hii Kagera sugar ya msimu huu? Hivi unatumia akili zako sawa sawa kweli?
Wallah kakimbia, Mechi zote simba anastrugle kupata matokeo hata na vitimu, C/o geita gold
 
Duhhh we jamaa bana, kwahiyo akili yako inakutuma kuwa Simba alikuwa anaikimbia hii Kagera sugar ya msimu huu? Hivi unatumia akili zako sawa sawa kweli?
Bodi ya ligi haikuwa Na ushahidi wakutosha kufanya maamuzi ya kuahirisha mechi. Saimba ndiyo yenyewe inasema wachezaji wetu 20 wanaumwa wote, tff hawana majibu ya vipimo vya wachezaji wanaoumwa. Hii inatoa mianya kwa timu kuzogeza mechi zao kwa sababu zao nyingine.

TFF itoe utaratibu (SOPs) kuhusu wachezaji kuumwa badala ya kutegemea taarifa za timu husika.
 
Kwahiyo akikimbia ndio itakuwa suluhisho la yeye ku struggle kupata matokeo?
Kusogeza mechi kunaweza kusaidia wachezaji muhimu kupata fitness kama walikuwa wasicheze kwasababu ya ugonjwa/majeruhi, wachezaji kupata muda zaidi wa kupinzika kabla ya mechi na timu kupata wachezaji wapya baada ya usajili wa dirisha dogo.
 
Katika wachezaji 28 ikatokea hata wachezaji 10 wanaumwa tena kwa mpigo hali hii si ya kawaida hata kama ndio kuna wengine 18 hawaumwi na ndio maana hata kuko kwa wenzetu walikoendelea leo hii kuna game imeahirishwa vile vile,,, ila hapa nongwa zimeanza kwa msukule eti kagera sugar hawajahongwa ndio maana simba kaogopa kuingiza timu
Hapana ukitaka kufananisha na wenzetu utakuwa umekosea mfano EPL unatakiwa uwe na wachezaji 14 fit pamoja na under 23 squad hizo ni kanuni zao kwa huku sijui kanuni zikoje, ndio maana baadhi ya team zinakataliwa kubadilisha ratiba
 
Kanidanganya mama yako wakati nakutafutia mdogo wako
Mbona mama yako niko naye hapa ananinyonya konga anasema wachezaji watatu wakiitwa timu ya taifa club yake itaendelea kucheza, ametolea mfano Liverpool akina Nabi keita, Sadio Mane na Mohamed salah wakija AfCon Liverpool wataendelea kucheza mechi zao, au mama yako ananidanganya?! Ila ninachomsifu ananyonyo ubo vizuri[emoji38][emoji38]
 
kina kabwili na mama j wamekuharibu ndio maana tunatafuta mtoto mwingine wa kiume
 
mtibwa waliomba mechi yao na kmc ihairishwe for the same reason kama ya simba, lakini tff kupitia bodi ya ligi ikakataa…….!
Double standard
Screenshot_2021-12-21-19-52-24-37.jpg
 
Back
Top Bottom