BabuMkubwa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 2,417
- 3,590
Michael Elias
Kitwana Manara
Gibson Sembuli
Kitwana Manara
Gibson Sembuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hamumtaji Mohammed Hussein 'Mmachinga' au Fred Felix 'Minziro'? Ama Athuman Abdallah 'China' na Said Mwamba 'Kizota' ambao baadaye waliangukia kwa Mnyama. Walikuwa watu sana hawa.1. Said Maulid SMG, huyu ndio alinifanya nikaipenda Yanga…
2. Nadir Haroub Ally (Cannavaro) huyu ndiye bora muda wote.
3. Shadrack Nsajigwa; Hatokaa atokee mchezaji aliyeipenda Yanga kama huyu, daima ana heshima yangu.
Hujagundua kitu ktk hao niliowataja? Ni pekee nilioweza kuwashuhudia.Mbona hamumtaji Mohammed Hussein 'Mmachinga' au Fred Felix 'Minziro'? Ama Athuman Abdallah 'China' na Said Mwamba 'Kizota' ambao baadaye waliangukia kwa Mnyama. Walikuwa watu sana hawa.
Ova
Huo mstari uliomaliza nao umenibadilisha kabisa cha kuandika. Shida yenu watu wa Utopolo ni kuamini kuwa hiyo simu yenu ni bora sana, wakati yenyewe ni hadhi ya Shirikisho.Hujagundua kitu ktk hao niliowataja? Ni pekee nilioweza kuwashuhudia.
Huyo SMG mwenyewe nilikuwa katoto sana, Nadir na Shadrack ndio haswa nimewaona ktk utimamu wa akili.
Ila ktk list yako nitamchagua Minziro ‘Baba Isaya’ mpaka sasa namshabikia kwenye timu anazocoach…
Lakini, wewe ulipata kuwashuhudia hao? Au ulitaka tu kuchombeza walivyoangukia huko ujingani kwenu?
Ukiwaongelea finalist wa CCC last season weka heshima ktk jina lao tafadhali!Huo mstari uliomaliza nao umenibadilisha kabisa cha kuandika. Shida yenu watu wa Utopolo ni kuamini kuwa hiyo simu yenu ni bora sana, wakati yenyewe ni hadhi ya Shirikisho.
Ova
Kuna kitu mnasahau sana, kwamba semi final mlicheza na timu iliyoshuka daraja, na fainali mkacheza na timu iliyokuwa chini ya nafasi ya tano kwenye ligi yake ya ndani.Ukiwaongelea finalist wa CCC last season weka heshima ktk jina lao tafadhali!
Ati wasema nini? Umesahau bingwa wa shirikisho kamfunga bingwa wa huko mnapopaabudu sana? Yani Makolo huko CCL mnapaona kama wapi sijui!Kuna kitu mnasahau sana, kwamba semi final mlicheza na timu iliyoshuka daraja, na fainali mkacheza na timu iliyokuwa chini ya nafasi ya tano kwenye ligi yake ya ndani.
Kwanini nasema hivyo? Ni kwamba shirikisho ni michuano ya timu rahisi zaidi, kwa kuwa hukutana timu rahisi zaidi huko, tofauti na Ligi ya Mabingwa.
Ova
Ati wasema nini? Umesahau bingwa wa shirikisho kamfunga bingwa wa huko mnapopaabudu sana? Yani Makolo huko CCL mnapaona kama wapi sijui!
Acha tu niendelee kuwashukuru Raja maana mngevuka ile siku kwenda nusu fainali tusingekaa tupewe nafasi ktk mijadala ya soka!
Hapo ametamani kusema Ahly wabovu ila akikumbuka tarehe 20 sio mbali kakaa kimya, namjua.Huna haja ya kubishana nao. Tatizo lao ni kwmb, kila timu inayocheza na Yanga, basi ni TIMU MBOVU….!!! Na wanakuja na evidence za kipuuzi…!!!
Na Konkoni?Mohamed mmachinga
Lunyamila
Kizota
Nemes
Tungaraza
Shaban ramadhani
Method mogela
Mkapa
Kambi
Manyika Sr
Niyonzima
Idi Moshi
Na Timu ya mwaka jana na mwaka huu yoote
Timu yoyote inayoshuka daraja huwa ni mbovu tu, hakuna namna ya kueleza timu iliyoshuka daraja kuwa ni kali kwa vile imecheza semi final ya kombe la Shirikisho.Huna haja ya kubishana nao. Tatizo lao ni kwmb, kila timu inayocheza na Yanga, basi ni TIMU MBOVU….!!! Na wanakuja na evidence za kipuuzi…!!!
Mnachanganya msimu huu na uliopita, hao wamempasua Ahly msimu huu baada ya kuimarisha timu. Walikuwa wabovu tu mlipocheza nao.Hapo ametamani kusema Ahly wabovu ila akikumbuka tarehe 20 sio mbali kakaa kimya, namjua.
Kwahiyo Ahly hawajaimarisha timu? Ni wabovu?Mnachanganya msimu huu na uliopita, hao wamempasua Ahly msimu huu baada ya kuimarisha timu. Walikuwa wabovu tu mlipocheza nao.
Ova
Hatujawahi kushindwa kumfunga Ahly pale kwa Mkapa. Atakufa tu. Ng'ombe atachinjwa kwa namna atakavyolala.Kwahiyo Ahly hawajaimarisha timu? Ni wabovu?
Hapa tunaongea imebaki siku 1 ujue?
Huyu mwamba sio kufunga tu anajua, ni fundi hadi wa kushangilia.Uzi ulianzishwa kipindi hawajui kwamba kuna mwamba anakuja na fimbo ya chuma, Aliyetabiriwa na manabii wa soka, Kwamba atatuta jangwani atatenda makuu naye kisha kukaa miaka miwili Tanzania ataenda Misri Naye atazihukumu timu pinzani kwa mikwaju mithili ya farasi wa vita
"Nami nikaona watu maelfu kwa maelfu wakiwa wamevaa jezi za kijani nyeusi na njano wakinyoosha mikono mbele huku wakipiga piga mkono wa kushoto na kuume
Mithili ya bata akitetema mkia huku sauti zikisikika pa pa paa! Wengine wakisema FISTON KALALA MAYELE ni mmoja, The King"