Wachezaji watatu NBC premier league wenye hadhi ya kucheza Europe

Chama uwezo wake ni apa tu ligi ya England hakuna mchezaji mwenye spidi ya konokono, ata timu ya taifa ana anzia sub sababu ya speed.

Soka la kisasa halina nafasi kwa wachezaji goigoi.
Kwani Ulaya ni England tu?
 
Kwa mtazamo wangu, wachezaji wenye uwezo wa kucheza Ulaya kwa sasa kutoka ligi yetu pendwa ya NBC ni:

1. Chama
2. Max
3. Yao

Wewe waonaje?
Ongeza djigui diarra, ki aziz, pacome na failasufi "feitoto"
 
Kuna jamaa kasema AYUUUBUUUπŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona hata yule mkenya alitoka EPL alishindwa. Na aliachwa/alitupiwa virango pale utopoloni.
NB: hivyo ligi yetu ni ngumu pia
(jokes)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…