- Thread starter
- #41
Kwani Ulaya ni England tu?Chama uwezo wake ni apa tu ligi ya England hakuna mchezaji mwenye spidi ya konokono, ata timu ya taifa ana anzia sub sababu ya speed.
Soka la kisasa halina nafasi kwa wachezaji goigoi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Ulaya ni England tu?Chama uwezo wake ni apa tu ligi ya England hakuna mchezaji mwenye spidi ya konokono, ata timu ya taifa ana anzia sub sababu ya speed.
Soka la kisasa halina nafasi kwa wachezaji goigoi.
Hahahahaaaaa uzi ufungweWe umemaliza kila kitu, uzi ufungwe
Wacheze na KMCWachezaji wote wa Ihefu fc wanaweza kucheza ligi zote kubwa duniani tatizo hawana connection .
Baka.Kwa mtazamo wangu, wachezaji wenye uwezo wa kucheza Ulaya kwa sasa kutoka ligi yetu pendwa ya NBC ni:
1. Chama
2. Max
3. Yao
Wewe waonaje?
Cteativity na level ya utulivu wakiwa na mpira haifikii hao watatuOnana.
Che malone
Job.
Zouzou.
Tumezingatia control na flexibility
Sent from my Redmi 8 using JamiiForums mobile app
Mfumo wa yuropu utamkubali?Mfumo ulimkataa but anajua mpira
Ni mfumo wa timu. Kwani timu za Ulaya wanacheza mfumo mmoja?Mfumo wa yuropu utamkubali?
Mmmmmh1. John Rafael Bocco
2. Kramo
3. Ayubu
Ongeza djigui diarra, ki aziz, pacome na failasufi "feitoto"Kwa mtazamo wangu, wachezaji wenye uwezo wa kucheza Ulaya kwa sasa kutoka ligi yetu pendwa ya NBC ni:
1. Chama
2. Max
3. Yao
Wewe waonaje?
Huyu jamaa 👋👋💪Ibrahim Bacca
Aucho mzito kidogoMax, yao yao na aucho
Hawajapata Bahati Tu.Mnaota nyie...hakuna mwenye uwezo wa kucheza ulaya akaja bongo...
HAKUNA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Onana labda Europe ya chanika..
😂😂ngoja akusikie okw😂Onana labda Europe ya chanika..
😂😂😂Ayubu