Chama Hana hadhi tena ya kucheza uerope sio kwamba Hana kiwango ila umri haumpi kigezo hivo mtoe hapo. Uerope hawachukui wazee.Kwa mtazamo wangu, wachezaji wenye uwezo wa kucheza Ulaya kwa sasa kutoka ligi yetu pendwa ya NBC ni:
1. Chama
2. Max
3. Yao
Wewe waonaje?
Anachopaswa ni kutobweteka Ila uwezo alionao sasa hivi, timu kama Liver unatosha kutia ushindani.Aongeze bidii
Kweli?Anachopaswa ni kutobweteka Ila uwezo alionao sasa hivi, timu kama Liver unatosha kutia ushindani.
JamaniHivi ayubu mnamuachaje nyie?
Unamjua Tariq Lamptey?Km mpk sasa hawajacheza hawachezi tena
NB: Yao kile kimo vipi?
Ngolo Kante ana kimo?Km mpk sasa hawajacheza hawachezi tena
NB: Yao kile kimo vipi?
Chama hapana labda pale Simba ndo anashineKwa mtazamo wangu, wachezaji wenye uwezo wa kucheza Ulaya kwa sasa kutoka ligi yetu pendwa ya NBC ni:
1. Chama
2. Max
3. Yao
Wewe waonaje?
Ok.Inajulikana huyo huwa anawaumiza mioyo kila siku.Hao wengine?Yani mtu ashindwe kupata namba hapo Berkene akapate namba Ulaya?!!
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Bocco na Kibu...teh teh.Kwa mtazamo wangu, wachezaji wenye uwezo wa kucheza Ulaya kwa sasa kutoka ligi yetu pendwa ya NBC ni:
1. Chama
2. Max
3. Yao
Wewe waonaje?
Hawa wote hapana,,labda baleke pekeeKwa mtazamo wangu, wachezaji wenye uwezo wa kucheza Ulaya kwa sasa kutoka ligi yetu pendwa ya NBC ni:
1. Chama
2. Max
3. Yao
Wewe waonaje?
KindokiChama uwezo wake ni apa tu ligi ya England hakuna mchezaji mwenye spidi ya konokono, ata timu ya taifa ana anzia sub sababu ya speed.
Soka la kisasa halina nafasi kwa wachezaji goigoi.
Bila kumsahau Molingachama ondoa, ana ubongobongo mwingi sana. Yao, Max, aziz na yule anayeweka nywele breach.
Max huyu wa mechi na Ihefu au yupi.Kwa mtazamo wangu, wachezaji wenye uwezo wa kucheza Ulaya kwa sasa kutoka ligi yetu pendwa ya NBC ni:
1. Chama
2. Max
3. Yao
Wewe waonaje?
PaconeeeeeKwa mtazamo wangu, wachezaji wenye uwezo wa kucheza Ulaya kwa sasa kutoka ligi yetu pendwa ya NBC ni:
1. Chama
2. Max
3. Yao
Wewe waonaje?
Huyu anaitwa nani? Alichezea timu gani Bongo? Alitokea team gani Congo/Burundi kuja Bongo? Akaenda kucheza team gani Europe?Mnaota nyie...hakuna mwenye uwezo wa kucheza ulaya akaja bongo...
HAKUNA
Kibu DenisKwa mtazamo wangu, wachezaji wenye uwezo wa kucheza Ulaya kwa sasa kutoka ligi yetu pendwa ya NBC ni:
1. Chama
2. Max
3. Yao
Wewe waonaje?