Yanga alikuwa anampiga tafu ndugu yake baada ya mgomo wa wachezaji... weka cv yake tuone kacheza yanga mwaka ganHuyu anaitwa nani? Alichezea timu gani Bongo? Alitokea team gani Congo/Burundi kuja Bongo? Akaenda kucheza team gani Europe?View attachment 2775794
Shabani NONDA
Kula Chuma hichoweka cv yake tuone kacheza yanga mwaka gan
Ayubu je...?😂Onana labda Europe ya chanika..
Weka full alafu angalia 1993-1994 mwaka ambao mnasema alikuwa yanga..imeandikwa alikuwa mchezaji wa timu ganiKula Chuma hichoView attachment 2775860
Unamuuliza nani sasa.Huyu anaitwa nani? Alichezea timu gani Bongo? Alitokea team gani Congo/Burundi kuja Bongo? Akaenda kucheza team gani Europe?View attachment 2775794
Shabani NONDA
Bichwa lako km KimbaUnamuuliza nani sasa.
Bichwa kama boga.
Tabia yako ya kulewa kupigia watu kelele uacheeBichwa lako km Kimba
Kichwa chako km kimba unabishana na kiSungura mi mwenzako kuna kitu kichwani hakijakaa sawaTabia yako ya kulewa kupigia watu kelele uachee
Wewe bana unazuga nini jana tumekuokoa mtaroni baada ya kulewa ulanziKichwa chako km kimba unabishana na kiSungura mi mwenzako kuna kitu kichwani hakijakaa sawa
Nimekwambia njoo na wewe nikununulie Savannah uleweWewe bana unazuga nini jana tumekuokoa mtaroni baada ya kulewa ulanzi
Katoto kadogo kushirikiana unashinda kwa wagangaNimekwambia njoo na wewe nikununulie Savannah ulewe
Ndondo cup hawatoboi kitaani kwetuKwa mtazamo wangu, wachezaji wenye uwezo wa kucheza Ulaya kwa sasa kutoka ligi yetu pendwa ya NBC ni:
1. Chama
2. Max
3. Yao
Wewe waonaje?
SawaNdondo cup hawatoboi kitaani kwetu