SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Nikiangalia taarifa za usajili wa timu mbalimbali naona wachezaji watatu wa Simba wa msimu uliopita wamesajiliwa ligi ya Algeria, ligi ya 3 kwa ubora Africa, wawili kati yao katika timu yenye mafanikio zaidi nchini humo na mmoja kwa Mabingwa wa CAFCC 2022-23.
Mwingine mmoja kauzwa Morocco, ligi ya pili kwa ubora, kwa timu iliyomaliza nafasi ya pili na ni mchezaji tegemeo wa timu yake ya taifa iliyoshika nafasi ya 4 AFCON.
Wengine wawili wameenda kwa watani wa jadi (timu iliyofika robo fainali CAFCL) na wamekenua meno kweli kweli kuwapata hao.
Mwingine kama ataachwa dirisha dogo naye anaweza kuuzwa Morocco, ligi ya pili kwa ubora, katika moja ya vilabu vitatu vikubwa zaidi nchini humo.
Kikosi kibovu how, which? Anyway, tumebonyeza kitufe cha kuanza upya kutumia vijana wa moto wenye njaa ya mafanikio na uzuri wake bado GSM hajapata namba zao.