Kijakazi Chizi
Member
- Dec 9, 2025
- 89
- 213
Football hooliganism!Wachezaji wawili wa Equatorial Guinea wamefungiwa kwa kuwatusi waamuzi katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), huku nahodha wa Burkina Faso, Bertrand Traore, akitozwa faini kutokana na kauli zake baada ya mechi, mashirikisho ya soka ya nchi husika yalisema Jumatano.
Nahodha wa Equatorial Guinea, Carlos Akakpo, na kiungo Josete Miranda, kila mmoja amefungiwa kucheza mechi nne kwa kumtukana mwamuzi Messie Nkounou wa Jamhuri ya Kongo, kufuatia kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Sudan kilichochezwa Casablanca Jumapili. Matokeo hayo yaliwaacha Equatorial Guinea mkiani mwa Kundi E. Shirikisho lilisema kuwa mechi mbili kati ya adhabu hiyo zimesitishwa kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Adhabu hizo zinaanza kutekelezwa Jumatano, wakati Equatorial Guinea itakapokutana na Algeria katika mechi yao ya mwisho ya hatua ya makundi itakayochezwa Rabat.
Wakati huo huo, Bertrand Traore, anayekipiga klabu ya Sunderland, ametoza faini ya dola 10,000 za Marekani kwa kutoa βkauli za kukeraβ katika mahojiano baada ya Algeria kuifunga Burkina Faso bao 1-0 katika mechi iliyochezwa Rabat Jumapili.
Mwamuzi kafanya nini?? Mimi na wewe hatuna ufahamu wowote wa sheria ya penati, tuwaachie wao, halafu Morocco timu kubwa ile, the best team in afrika na duniani ni ya 10Kwa Aina ya uamuzi niliouna Leo, Acharya tu watukanwe
Una akili ya kitumwa Sana, kwa hiyo timu ikiwa kubwa ndio sheria za mpira zisifuatwe? Acha kuleta siasa zako michezoni.Mwamuzi kafanya nini?? Yani mnajiona mmeonewa sio!! Morocco timu kubwa ile, the best team in afrika na duniani ni ya pili.
Acheni kulalamika
Mlitaka muende robo fainali kwa mpira upi? Tena mna bahati mmefungwa moja. Ilitakiwa mfunge kama magoli 5Una akili ya kitumwa Sana, kwa hiyo timu ikiwa kubwa ndio sheria za mpira zisifuatwe? Acha kuleta siasa zako michezoni.
Una akili ya kitumwa Sana, kwa hiyo timu ikiwa kubwa ndio sheria za mpira zisifuatwe? Acha kuleta siasa zako michezoni.
Una akili ya kitumwa Sana, kwa hiyo timu ikiwa kubwa ndio sheria za mpira zisifuatwe? Acha kuleta siasa zako michezoni.
Kinyungu ee utanivunja mbavu aise πππMlitaka muende robo fainali kwa mpira upi? Tena mna bahati mmefungwa moja. Ilitakiwa mfunge kama magoli 5
Hata Wachezaji wa Taifa Stars wanapaswa wakutane na rungu la CAF kwa kumzonga Mwamuzi na kutaka kuzua taharuki uwanjani.