Wachezaji wenye akili na hatari zaidi Mamelodi

hawajakutana na max,pacome,ki na yao hao...
 
Tukimuuza Diarra kwenda ulaya (zipo tetesi Manchester United, na Inter milan zinahitaji huduma yake) msimu ujao, pesa tutakazo zipata, tukilete hicho chuma pale Jangwani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Diara unataka kudanganya anamzidi Williams?
 
Ronwen Williums.
Khuliso Mudau.
Mothobi Mvala
Grant kekana.
Abdelmounaim Boutouil
Thapelo morena.
Thebohi mokoena.
Bongani Zungu
Marcelo allende

MNYAMA THEMBA ZWANE.......
Umemsahau AUBREIN MODIBA
 
Mamelodi wakitulia wanawatoa Ahly ila kuna mistake wanafanyaga wanapenda sana show game
Sema sina hofu sana maana Ahly anapajua bondeni vizuri
Mara ngapi wanawatoa au ulikuwa jera mkuu?
 
Nilikua namaanisha yule huwa anawafanyaga kitu mbaya, jana katolewa kwenye michuano.

Au niongee kimakua ndio utanielewa?
Hebu nitokee huko unajitafutia ahueni kupitia kwetu??
Atawafanyia nyie ndani na nje...
 
Jana nimeona mwarabu akivishwa kanzu aisee πŸ˜† noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…