CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Kuna beki yao ya kulia fundi sanaaa anajua alafu anajua tena, jamaa anakupa kila kitu unachohitaj kutoka kwa beki wa pembeni
Ni wing back.
Anaitwa.
Mothobi Mvala
Mamelody anatumia mabeki wa3 wa katikati.