Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na kuna mdada anacheza porn anaitwa MendyNilikuwa namjua mchezaji wa Man city anaitwa Mendy ..halafu nikaona Real Madrid Wana ndugu yake kama sikosei anaitwa Mendy pia..
Mara nikaona Leicester Wana Mendy pia Juzi nimeona kipa chelsea anaitwa Mendy.
Kuna anaweza niambia hawa wote wanatoka nchi gani??Wana undugu?
Kuna Mendy wengine wanacheza mpira level hii?
I am just curious
Hapana mkuu, ni Ufansa.Senegal ilitawaliwa na Spain