Wachezaji wenye jina la Mendy..

Wachezaji wenye jina la Mendy..

Mendy Ni jina la huko Senegal na ufaransa ila ipo pia pwani ya hispania
 
Nilikuwa namjua mchezaji wa Man city anaitwa Mendy ..halafu nikaona Real Madrid Wana ndugu yake kama sikosei anaitwa Mendy pia..
Mara nikaona Leicester Wana Mendy pia Juzi nimeona kipa chelsea anaitwa Mendy.

Kuna anaweza niambia hawa wote wanatoka nchi gani??Wana undugu?

Kuna Mendy wengine wanacheza mpira level hii?

I am just curious
na kuna mdada anacheza porn anaitwa Mendy
 
Back
Top Bottom