BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Kiboko ya timu za Uingereza katika UEFA
Champions League-King Messi/La Pulga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu kiumbe angecheza Epl angekua anamaliza na magoli zaidi ya 35 kila msimu
Alafu anakuja mtu anakuambia hawezi kucheza uingereza wakati wakina Aguero,sanchez,fabregas and costa walikuwa watoto kwake LA LIGA lakini walipoenda EPL walionekana wababe...sembuse Master wao King Messi!!! Acha aitwe mfalme kuwahi kutokea, i know that wapo ambao povu litawatoka kuiona post hii.
amefata pesa...
View attachment 699586
Kiboko ya timu za Uingereza katika UEFA
Champions League-King Messi/La Pulga.
Katika Hayo 18 usijeshangaa Kuwa 15 kati yao Kazifunga Arsenal na Man City tu!!!
Kwahiyo Huyu Ni Kiboko Wa Arsenal Na Man City ambazo Kila Mechi anapokutana nao lazima Awatie Magoli.
Ushajua sasa kwann wanamchukia
Epl kungekuwa na timu ambayo Messi ana hadhi ya kucheza angeenda ila kwa sasa duniani hakuna timu ambayo Messi anaweza akacheza zaidi ya Barca, ndo timu bora pekee ulimwenguni ikifuatiwa na Madrid.Alafu anakuja mtu anakuambia hawezi kucheza uingereza wakati wakina Aguero,sanchez,fabregas and costa walikuwa watoto kwake LA LIGA lakini walipoenda EPL walionekana wababe...sembuse Master wao King Messi!!! Acha aitwe mfalme kuwahi kutokea, i know that wapo ambao povu litawatoka kuiona post hii.
Ha ha ha ha ha ha ha ha Henry amemaliza
Ni timu gani Messi amekutana nazo zaid mara nyingi zaidi ya hizo ulizotaja?Katika Hayo 18 usijeshangaa Kuwa 15 kati yao Kazifunga Arsenal na Man City tu!!!
Kwahiyo Huyu Ni Kiboko Wa Arsenal Na Man City ambazo Kila Mechi anapokutana nao lazima Awatie Magoli.
sio avunjike..ahamie eplWanatamani avunjike hata mguu asijeze kabisa. So Watambue tu kuwa huyu ndiye baba lao
Hapo wanasakiziana, naona kila mtu anamtuma mwenzie akabe, hahaha.