Wachezaji wenye Mabao mengi UCL dhidi ya timu za Uingereza.

huyu kiumbe angecheza Epl angekua anamaliza na magoli zaidi ya 35 kila msimu

Alafu anakuja mtu anakuambia hawezi kucheza uingereza wakati wakina Aguero,sanchez,fabregas and costa walikuwa watoto kwake LA LIGA lakini walipoenda EPL walionekana wababe...sembuse Master wao King Messi!!! Acha aitwe mfalme kuwahi kutokea, i know that wapo ambao povu litawatoka kuiona post hii.
 
 


Wakwapi wale wanaosema Messi hawezi cheza vizuri ligi ya Uingereza? Wabongo bwana hawakosagi maneno. Ndiomana comments zingine huwa nasoma napita maana utaumiza kichwa kwa baadhi ya watu wasiojuwa nini maana mpira.

Yani wanatamani wapasuke kwa huyu mchawiπŸ˜›πŸ˜›
 
kwani kucheza mechi moja ndio kashacheza ligi ya uingereza.ronaldo
 
Katika Hayo 18 usijeshangaa Kuwa 15 kati yao Kazifunga Arsenal na Man City tu!!!
Kwahiyo Huyu Ni Kiboko Wa Arsenal Na Man City ambazo Kila Mechi anapokutana nao lazima Awatie Magoli.

Nnavyojuwa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Messi na Arsnl 9
Messi na City 6
Messi na Man U 2
Messi na Chelsea 1

Nusu yake yameenda Arsenal πŸ˜€πŸ˜€
 
Epl kungekuwa na timu ambayo Messi ana hadhi ya kucheza angeenda ila kwa sasa duniani hakuna timu ambayo Messi anaweza akacheza zaidi ya Barca, ndo timu bora pekee ulimwenguni ikifuatiwa na Madrid.
 
Katika Hayo 18 usijeshangaa Kuwa 15 kati yao Kazifunga Arsenal na Man City tu!!!
Kwahiyo Huyu Ni Kiboko Wa Arsenal Na Man City ambazo Kila Mechi anapokutana nao lazima Awatie Magoli.
Ni timu gani Messi amekutana nazo zaid mara nyingi zaidi ya hizo ulizotaja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…