Njaa mbaya sana Umasikini ni mbaya sana unajitoa ufahamu kuchambua na kujadili hoja.Jitahidi kuchambua hoja za Manara achana na kumshambulia Manara yeye kama yeye tafakari na kujadili alichokisema kwa faida ya Simba leo,kesho na kesho kutwa ikiwezekana hata milele