Wachezaji Yanga waendelea kugoma

Acha ujinga... hoji ela mnayochanga inatumikaje??
Wanaowapa furaha hamtaki kuwapa haki yao, unaleta kwapa kubwa hapa kwenye maisha ya watu
Si nlisikia mdau mmoja wa Yanga anadai pass word wanazo kina Yondani, kwa nn wasizitoe,,

Na huu uchaguzi wao lini?
 
Yuke kipa aligoma, Zahera akamtimua kabisa ktk timu,
 
Kutesa kwa zamu... Walitutesa sana kipindi cha Malinzi...
Eti timu ya Wananchi ,[emoji23][emoji16][emoji3][emoji4][emoji5][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji38][emoji6] wachezaji wako hoi
Nauza yanga mbovu na dola chakavu.....
Nauza yanga mbovu na dola chakavu....
Nauza yanga mbovu na dola chakavu....
 
Yani watu wamenishangaza sana kushangaa jana Kagere amekosa penalt wakati hawashangai wachezaji wa vyura kukosa mishahara miezi zaidi ya sita sasa.
 
Nani kakwambia picha ina husiana na maelezo
Wewe jamaa kila siku kuinanga Yanga . Vipi kocha wenu Kitambi haonekani kwenye benchi . Za chini ya busati Uchebe analiwa na Yule muarabu kocha wa viungo . Wakaona Kitambi gozi gozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…