technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Kuna habari kutoka Yanga kwamba wachezaji wanadai pesa ndefu za posho.
Kuna posho mpaka za last season wachezaji wanadai.
Kuna bonus za last season wachezaji wanadai
Kuna wachezaji Kama Azzi K
hajalipwa signing fees yake ya mkataba mpya!!
GSM na engineer wapo kwenye siasa tu wanataka kuchukua Jimbo Dodoma
Kama wanabisha waje wakanushe timu inadai kalibia 2bilions signing, bonus na posho.