technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Mmmmmmm sio kwelini matokeo uu ya mchezo.....ume take advantage....Kuna habari kutoka Yanga kwamba wachezaji wanadai pesa ndefu za posho.
Kuna posho mpaka za last season wachezaji wanadai.
Kuna bonus za last season wachezaji wanadai
Kuna wachezaji Kama Azziz k hajalipwa signing fees yake ya mkataba mpya!!
GSM na engineer wapo kwenye siasa tu wanataka kuchukua Jimbo Dodoma
Kama wanabisha waje wakanushe timu inadai kalibia 2bilions signing, bonus na posho.
Kwani kolo adaiwi?mbona timu nyingi tu zinadaiwa.Haina uhusiano na matokeo wanayopata Sasa yanga.Kuna habari kutoka Yanga kwamba wachezaji wanadai pesa ndefu za posho.
Kuna posho mpaka za last season wachezaji wanadai.
Kuna bonus za last season wachezaji wanadai
Kuna wachezaji Kama Azzi K
hajalipwa signing fees yake ya mkataba mpya!!
GSM na engineer wapo kwenye siasa tu wanataka kuchukua Jimbo Dodoma
Kama wanabisha waje wakanushe timu inadai kalibia 2bilions signing, bonus na posho.
Kolo anadaiwa na nani we mwiko nyuma?Kwani kolo adaiwi?mbona timu nyingi tu zinadaiwa.Haina uhusiano na matokeo wanayopata Sasa yanga.
Mtoto wa rage,kolo anadaiwa signing fee hajawa malizia baadhi ya wachezaji wake.Kolo anadaiwa na nani we mwiko nyuma?
Mtoto wa rage,kolo anadaiwa signing fee hajawa malizia baadhi ya wachezaji wake.