Wachezeeni na Waibieni Watu wote wa Makabila mbalimbali nchini Tanzania, ila Kaeni mbali kabisa na Wazanaki

Mzukulu

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2020
Posts
1,401
Reaction score
2,641
Watu wawili wakazi wa kijiji cha Busegwe wilaya ya Butiama mkoani Mara wanaodaiwa kuwa ni wezi wa ng’ombe wamejikuta katika hali ya kula majani na kung’oa majani mithili ya ng’ombe baada ya kuiba ng’ombe wanaodaiwa kuwa na thamani ya shilingi milioni mbili.

ITV Tanzania

Wewe eneo limetoa Raia wa nchi ambaye amekingwa na Vitu vingi tu dhidi ya Maadui halafu Wewe leo unataka Kuwachezea hivi hovyo utaumia!
 
Kumbe wazanaki pia wamo!

Kwani hiyo Promo yao kwa hao Wezi wa Ng'ombe hujaiona Ndugu? Wewe eneo limetoa Mtawala Mahiri wa Taifa hili unadhani ni la Kuchezewa hivi?
 
Watu wawili wakazi wa kijiji cha Busegwe wilaya ya Butiama mkoani Mara wanaodaiwa kuwa ni wezi wa ng’ombe wamejikuta katika hali ya kula majani na kung’oa majani mithili ya ng’ombe baada ya kuiba ng’ombe wanaodaiwa kuwa na thamani ya shilingi milioni mbili.

ITV Tanzania

Wewe eneo limetoa Raia wa nchi ambaye amekingwa na Vitu vingi tu dhidi ya Maadui halafu Wewe leo unataka Kuwachezea hivi hovyo utaumia!
Genta, Vip id kongwe imekula ban au ndio kuelekea kumng'oa jimbon Mzee Mkono N E
 
Hayo ni maigizo tu wala hakuna kitu.

Wazanaki wanaibiwa ng'ombe kila siku na kuna wakati alikuwepo Siro akiwaonya kua wizi wa ng'ombe ni mambo ya kishamba waache.

Hayo ni maigizo kuna mganga fake anataka kuanza kupiga hela.
 
Watu wawili wakazi wa kijiji cha Busegwe wilaya ya Butiama mkoani Mara wanaodaiwa kuwa ni wezi wa ng’ombe wamejikuta katika hali ya kula majani na kung’oa majani mithili ya ng’ombe baada ya kuiba ng’ombe wanaodaiwa kuwa na thamani ya shilingi milioni mbili.

ITV Tanzania

Wewe eneo limetoa Raia wa nchi ambaye amekingwa na Vitu vingi tu dhidi ya Maadui halafu Wewe leo unataka Kuwachezea hivi hovyo utaumia!
Wanawazidi chattle?
 
Ila wajita wanaongoza kwa ushirikina kwa mkoa wa Mara
 
Wizi wa ng'ombe maeneo hayo upo sana na sijui kwa nini hauishi licha ya mapori ambayo wezi waliyatumia kuficha ng'ombe wa wizi kupungua.Pori la kule Buruma lilikuwa hatari sana.
 
Watu wawili wakazi wa kijiji cha Busegwe wilaya ya Butiama mkoani Mara wanaodaiwa kuwa ni wezi wa ng’ombe wamejikuta katika hali ya kula majani na kung’oa majani mithili ya ng’ombe baada ya kuiba ng’ombe wanaodaiwa kuwa na thamani ya shilingi milioni mbili.

ITV Tanzania

Wewe eneo limetoa Raia wa nchi ambaye amekingwa na Vitu vingi tu dhidi ya Maadui halafu Wewe leo unataka Kuwachezea hivi hovyo utaumia!
Kenj boy niaje?
 
Back
Top Bottom